Thursday, May 15, 2014

Jay Z kuwa Best Man wa Kanye West kwenye ndoa yake na Kim Kardashian .


Jay Z To Act As Best Man In Kanye West & Kim Kardashian Wedding 
kwa mjibu wa mtandao wa  Radar Online  , Jay Z anajipanga kuwa msimamizi wa kanye west kwenye ndoa yake na Kim K iliopamgwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu Paris Ufaransa.

 
hapo mwanzo kulikuwa na taarifa kuwa Jay Z na beyonce hawatohudhuria ndoa hiyo kwa kukwepa kuonekana kwenye kipindi cha  Keeping Up With The Kardashians ,wawili hao wanadaiwa kukubali kuhudhuria baada ya kudhibitishwa kuwa sehemu kubwa ya ndoa hiyo haito oneshwa kwenye TV.

Wiki iliopita Kim K kupitia Twitter  alisema ndoa hiyo haito oneshwa kwenye TV
 "1. We are not married yet!" she wrote. "2. We are not filming our wedding for Keeping Up With The Kardashians. You will see everything leading up til and after! As much as we would love to share these memories on camera, we've decided to keep this close to our hearts; share thru photos."

0 comments: