![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007105741_somalia_atm_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Watu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu wameanza kutumia mtambo wa kwanza kuwahi kutumika wa kutoa pesa mjini humo.
Mtambo
huo wa benki ya Salaam Somali Bank, umewekwa katika hoteli moja na
tayari umeanza kutumika na kuwaruhusu wateja kutoa dola za kimarekani.