Mchezaji raia wa Nigeria Obafemi Martins 28 ameamua kuonesha
heshima katika club alizo wahi kuziochezea kwa kuweka cover za jersey za timu hizo
kwenye viti vya nyumbani kwake vilivyopo
sehem ya
kulia chakula
Martins ambaye ameshachezea club zaidi ya nane ikiwemo Reggiana,
Inter Milan, Newcastle, Wolfsburg, Rubin Kazan, Birmingham, Levante na sasa anacheza
liga ya marekani MLS katika club ambayo mtanzania Mrisho ngasa
alishakufanya majaribio Seattle Sounders.
Martins katika viti hivyo vya dining
room amewekea macover ya jezi zikiwa na
number aliokuwa anaivaa katika timu husika pamoja na jina lake ..